Idadi ya Waliokufa Katika Ajali ya Kivuko cha MV Nyerere Yaongezeka Sasa Yafikia Watu 86

Idadi ya Waliokufa Katika Ajali ya  Kivuko cha MV Nyerere Yaongezeka Sasa Yafikia Watu 86
Makundi ya uokoaji kaskazini mwa Tanzania yamerejelea shughuli zao kuwatafuta manusura kwenye ajali ya feri iliyopinduka huko Lake Victoria.

Hadi sasa ni watu 86 ambao wamethibitishwa kufa. Watu 37 waliokolewa hiyo jana wakiwa hali mbaya kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela, ambaye amezungumza na vyombo vya habari leo asubuni.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad