Idriss Sultan Aamua Kumuombea Msamaha Maua Sama Baada ya Kutupwa Selo


From @idrissultan - Binafsi ningependa kumuombea msamaha Maua kwakuwa lengo sio kuivunjia heshima fedha yetu na benki kuu kwa ujumla. Katika harakati za kujitafutia ugali makosa yatafanyika tu ila muhimu ni tukae tukumbuke lengo. Lengo sio kukomoana, lengo sio kuonyeshana nani anajua zaidi, lengo sio kuwekeana mabavu bali lengo ni kuelimisha jinsi ya kutunza vyetu wenyewe. Ningependa ku-propose mumtumie Maua kuelimisha wengine kupitia influence yake na adhabu aliyopata mpaka sasa tufanye imetosha. Hakuna aliye juu ya sheria ila tuvae tu uhusika wa lengo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad