Iphone Wamesurrender, Sasa Wanakuja na Simu ya Line Mbili (Dual Sim)

Hawa Jamaa Sasa uvumilivu umewashinda. Katika Toleo lao la IPHONE XS ambayo inatarajiwa kutoka mwishoni mwa mwezi wa Tisa au mwezi wa kumi mwanzoni itakuwa na line mbili yaani DUAL SIM Kama ambavyo imetangazwa.

Kuna hawa Die-hard funs wa Iphone huwa wana mitazamo ya kijinga sana kuhusu Dual Sim. Huwa wanaamini kuwa Dual sim ni Ideology ya kichina china na kwa vile wao ni Wamarekani hivyo hawawezi tumia dual Sim phone.

Huwa wanaleta madharau sana wakiona simu kama Samsung S9 ikiwa na dual sim na ndio huwa wanaona ni drawback ya iyo simu. Lakini Samsung ni wajanja wanatoa Version ili kumeet market Target. Huwa kuna Simu za Single Sim na dual sim. Pia huwa wanatengeza Simu according to wateja wao wakubwa kama Verizon, Sprint T-Mobile na wengine na pia kwa kuzingatia major regions kama Africa, Asia, USA na Kadhalika.

Sasa mwaka huu Mbwa kaingia Msikitini. Lazima mcheze bila Kukunja got

Sisi wazee wa Android tunakaa pembeni kuwaangalia mkifarakana

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad