Irani yarusha Mashambulizi kwa Trump, yaihusisha Marekani na vifo vya Raia wake


Rais wa Iran Hassan Rouhani ameilaumu Marekani kufuatia shambulizi baya lililolenga gwaride la jeshi.

Watu wenye silaha waliwafyatulia risasi wanajeshi wa Iran kwenye mji ulio kusini magharibi wa Ahvaz siku ya Jumamosi kwenye shambulizi linalodaiwa kuwa ni la kundi linaloipinga serikali la wanamgambo wa Islamic

Rouhani alisema Marekani na mataifa ya Ghuba yaliunga mkono shambulizi hilo.

Rais huyo wa Irani atakutana na Trump wakati wa mkutano wa Umoja wa Mataifa wiki hii.

Shambulizi hilo la Jumatatu liliwaua watu 25 wakiwemo wanajeshi 12, raia waliokuwa wakitazama gwaride na msichana wa umri wa miaka minne.

Hakuna kundi lililodai lilionyesha ushahidi wa kuhusika.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad