Irene Uwoya Aacha Kitendawili Kwa Raha Anazokula Dubai...Apost Picha Akiwa na Mwanaume Mwingine

Msanii wa filamu Irene Uwoya Ndani ya Dubai akiendelea Kula maisha ya Kifahari... Pichani akiwa na Mwanaume anayehisiwa na Wadau kuwa Ndiye anampa Jeuri ya Raha zote Huko Dubai wakiwa wamevaa nguo za kuogelea sare sare Mauwa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad