Kabla ya Uwoya kuposti huo ujumbe, Dogo Janja ndiye aliyeanza kwa kupost ujumbe tata uliowashangaza wengi.
Dogo Janja aliweke picha ya mkewe Irene Uwoya na kuandika; “BADO NA IMANI YOTE NA PITIA🙏🏻 😌”, hali iliyowafanya mashabiki waanze kuamini tetesi kwamba huenda ni kweli wameachana.
Baada ya ujumbe huo wa Dogo Janja, Irene Uwoya naye akaandika; “Vyovyote unavyosikia kuhusu mimi amin, sina tena muda wa kujielezea mwenyewe, pia unaweza kuongezea baadhi ya vitu kama unataka”