John Bocco Akamatiki Afikisha Goli 100 Ligi Kuu

John Bocco Akkamatiki Afikisha Gori 100 Ligi Kuu
Mshambuliaji wa Simba John Bocco anazidi kujitengenezea historia yake kwenye soka baada ya jana kufunga magori mawili na kutengeneza bonge  la historia la kuwa mchezaji pekee aliyefunga magori 100 katika ligi kuu.


Wadau wengi wa soka wamempongeza kwa hatua hiyo nzuri ikiwemo  msemaji wa simba Haji Manara ambaye alisema hivi;

Nadhani foleni ya kukupongeza imepungua..umekuwa mwanadaamu wa kwanza kufikisha Magoli Mia kwenye Ligi kuu na itabaki hvyo..wengine watafuatia tu..Captain John Raphael Boko..Hongera sana Mwamba
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad