John Magufuli Atoa Mpya "Mhe. Esther Matiko Karibu CCM, Hata Ukiona Sura na Moyo Wake ni CCM"


Rais Dkt John Magufuli || "Mhe. Esther Matiko karibu CCM,hata ukiona sura na moyo wake ni CCM,hata aliyoyaomba mfano maji yapo kwenye ilani ya CCM na ndio tuliyoyaahidi. Kwa hiyo Mhe.Matiko kama utaamua kuhamia CCM kama wanavyofanya wenzako, sisi tutafanyaje tutakupoke tu"
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad