Kagere Atangazwa na TFF Kuwa Mchezaji Bora Mwezi Agosti

Kagere Atangazwa na TFF Kuwa Mchezaji Bora Mwezi Agosti
Shirikisho la soka Tanzania TFF leo kupitua kwa afisa habari wake Clifford Ndimbo limetangaza mshambuliaji wa kimataifa wa Rwanda anayeichezea Simba SC Meddie Kagere kuwa mchezaji bora.

TFF leo mbele ya waandishi wamemtangaza Meddie Kagere wa Simba kuwa ndio mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi August 2018 kwa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2018/2019.

Kagere ameshinda tuzo hiyo kwa kuwashinda Joseph Mahundi wa Azam FC na Juma Mponda wa Kagera Sugar, Kagere ameshinda tuzo hiyo baada ya kuisadia timu yake ya Simba SC kuvuna point sita katika game mbili za mwezi August.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad