King Msukuma Afunguka Mali Zake Kupigwa Mnada

KING MSUKUMA AFUNGUKA MALI ZAKE KUPIGWA MNADA –

Baada ya taarifa kusambaa katika mitandao ya Kijamii kuwa Mali za mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini (CCM), Joseph Kasheku maarufu kwa jina la King Msukuma kudaiwa zitapigwa mnada na Bank ya NBC kutokana na deni analodaiwa na Bank hiyo.

Msukuma amekanusha taarifa hizo na kudai kuwa hakuna Bank itakayoweza kupiga mnada mali zake kutokana na kampuni yake kulipa mkopo wa Bank kulingana na mkatapa wake na Bank husika.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad