Lady Jaydee Awaacha Njia Panda Mashabiki

Lady Jaydee Awaacha Njia Panda Mashabiki
Malkia wa Bongo Fleva Lady Jaydee amewashtua mashabiki kwa kuwaacha wakibaki na alama ya kuuliza.

Msanii huyo kupitia mtandao wake wa Instagram ameweka picha akiwa na Juliana Kanyomozi na kuandika ujumbe ambao unaonyesha kuwa kuna ujio wa ngoma yao mpya.

"🛑 ✋🏾 WAIT 🛑 ✋🏾 .....||......26th October 2018 ......| |Kaa Macho |," ameandika Jaydee."

Kutokana na ujumbe huo kunauwezekano mkubwa wawili hao wakaachia wimbo wao mpya Oktoba 26 ya mwaka huu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad