Linah: Mwili Nilionao Haunifanyi Nishindwe Kujiachia Jukwaani

Linah: Mwili Nilionao Haunifanyi Nishindwe Kujiachia Jukwaani
Msanii wa Bongo Fleva, Linah Sanga amesema kuongezeka kwa mwili wake baada ya kujifungua haujamuathiri chochote kwenye kazi yake ya usanii na kwamba anafanya kazi zake kama kawaida.



‘’Mazoezi nafanya ya kawaida tu, naupenda sana mwili wangu, mimi naona kawaida tu kuongezeka kwangu hakujaniathiri chochote nafanya kazi zangu kama kawaida, napiga shoo jukwaani na najiona ni mwepesi kama kawaida, unajua kuwa watu wembaba lakini wazito, lakini mimi unene nilionao haunipi changamoto zozote ninapokuwa jukwaani nawaburudisha mashabiki wangu kama kawaida, halafu ujue kwamba mimi sio dansa mimi ni mwanamuziki naimba nitakavyo sio lazima niruke ruke’ Alisema Linnah Sanga akizungumza na mtandao wa www.cloudsfm.co.tz



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad