Magari Manne Yagongana na Kuua Watu 11 Mbeya

Watu 11wamefariki baada Magari manne kugongana katika mteremko wa Igawilo mkoani Mbeya.

 Inaelezwa kuwa Lori lililokuwa linatoka Rungwe kwenda Mbeya Mjini lilifeli breki na kuigonga Hiace ambapo ilipoteza mwelekeo na kuyagonga magari ya mbele yake.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad