Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma Yamuachia Huru Baba Levo



Msanii na Diwani wa Kata ya Mwanga Kaskazini(ACT-Wazalendo), Crayton Chipando maarufu 'Baba Levo' ameachiwa huru kutoka kwenye mshitaka matatu yaliyokuwa yanamkabili

Alifikishwa Mahakamani hapo kwa makosa ya kushambulia, kufanya vurugu na kutumia lugha ya matusi dhidi ya Muuguzi Christina Gervas wa Zahanati ya Msufini

Alidaiwa kutenda makosa hayo mnamo Aprili 12 mwaka huu huku shauri hilo likisomwa kwa mara ya kwanza Mei 4, 2018

Aidha, kesi hiyo namba 62 ya mwaka 2018 ilikuwa ikisikilizwa kwa Hakimu Mfawidhi Flora Mtalania huku Diwani huyo akitetewa na Wakili Thomas Msasa
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad