Maimatha Amtolea Povu Mobetto "Wanawake wa Hivi ni Nyoka Eti Nayeye Anataka Aitwe TZ Sweetheart''

Maimatha Amtolea Povu Mobetto "Wanawake wa Hivi ni Nyoka Eti Nayeye Anataka Aitwe TZ Sweetheart''
Mtangazaji maarufu na mc kipenzi cha watu Maiamrtha wa Jesse amejikuta anashindwa kuficha hisia zake za hasira kwa mwanadada Hamisa Mobeto kwa kitendo chake cha kutaka kuitwa Tanzania sweeethaert jina ambalo alipewa Wema hapo awali kutokana na upendo alikuwa nao kwa watu.,

Maiamrtha anatoboa siri na kusema kuwa pamoja na mambo yote ambayo wema aliwahi kumfanyia hamisa katika maisha yake mpaka kufikia hatua ya kuwa anampa ela ya nauli na pesa ya kununulia pafyum na kumkaribisha nyumbani kwake kama mdogo wake lakini mwanadada huyo bado aliamua kumsaliti na kutembea na mwanaume wa dada yake na sasa anagombania jina.

Maimartah anasema kuwa pamoja na yote lakini Wema atabaki kuwa Sweetheart wa Tanzania na hatopata mshindani hata siku moja hivyo kama kuna watu wanamuonea wivu basi  wamuache.

Pamoja na maneno yote hayo, mapovu hayo pia yanaambatana na pongezi za wema za kutimiza miaka kadhaa  ambapo mwanadada huyo anasherekea siku ya september 28 mwaka huu huku akimwalika Van Vicker katika party hiyo.
Inafikia mahali unaogopa hata kuwa karibu saana na mashoga ukiwa na Mr. ...maana kuna baadhi ya wanawake tabia zao feki kweli....Leo shogaako kesho anakuwa mkemwenzio... Ukimuuliza anakujibu namjua tangu zamani....
Pole sana wema naona umejifunza eti...nasikia 
Uliishi nae...ukawa unmpa pesa apande bajaji...unampa pesa anunue manukato japo nae anukie ...ukawa unamlisha....unamnunulia nguo...Leo hii amesahau yotee na yeye anataka kushindana na wewe boss wake...
Yaani wema kinyago amekichonga mwenyewe alafu kimtishe....haha ....😁😁😁
Mungu mkali jamani....
Astakafullilah....astakafullilah jamani...pia kesho kwa mungu kuna moto wadogozangu...
Eti nayeye anataka aitwe #tanzaniasweetheart
Dhambi kubwa jamani hii tumuogopeni mungu wanawake jamani....
Wanawake wa hivi ni nyoka🙌 tuwapende kwasababu ni amri kutoka kwa mungu ila tusisahau kuwaepuka....
Ishi maisha marefu ....Mimi ndiowakwanza kukuwish kabisaah...happy birthday Tz Sweetheart kabisa😍
Nisaidieni kumtag....
Tuheshimianeni jomoni.
#tukutanekesho

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad