Makonda Amtemea Cheche Mobetto '' Huwezi ng’ang’ania TZ Sweetheart Baada ya Kuachwa, Tumia hata Buguruni Sweetheart''

Makonda Amtemea Cheche Hamisa Mobetto Kisa Jina TZ Sweatheart '' Huwezi ng’ang’ania TZ Sweetheart Baada ya Kuachwa, Tumia hata Buguruni Sweetheart''
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ametoa kauli yake juu ya mvutano unaoendelea kati ya Wema Sepetu na team Hamisa Mobetto juu ya jina la TZ Sweetheart. Mkuu huyo alikuwa mmmoja kati ya wageni waliohudhuria Birthday Gala ya mwanadada huyo wa filamu mwenye mvuto nchini Tanzania.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad