Mama wa Miaka 62 Ananitaka Kimapenzi na Tufunge Ndoa ili Anisaidie, Naomba Ushauri

ANAOMBA USHAURI

Mimi ni kijana nina miaka 31, nimemaliza elimu ya chuo kikuu, ni takribani miaka mitano nimezunguka kutafuta kazi na nimekosa. Sasa nimekutana na jimama lina miaka 62, limeniambia lipo tayari kunisaidia na kunipa kazi ila nikubali kuwa naye na hadi kufunga ndoa. Lakini mimi nilikuwa nina mpenzi wangu mwingine ambaye nimekuwa muda sasa na amenivumilia siku zote bila pesa.. Naombeni ushauri wenu hapo hatua gani nichukue.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad