Mambo Yazidi Kumnyookea Hamisa Mobetto..Apata Deal Lingine


Mrembo HamisaMobetto tayari amekula Dili nono kuwa balozi katika Kampuni Fulani ambayo bado hajaweka wazi kuhusu kampuni hiyo... Pichani akiwa amekamatia Mkataba baada ya kusaini Dili hilo... Comment neno la **HONGERA kumpongeza Hamisa.... Mambo ni Moto

Kaa nasi soon tutakwambia ni deal gani Kapata

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad