Mwanaharakati Mange Kimambi amefunguka na kusema kuwa mwanamuziki na muigizaji wastara juma aliwahi kuwa na mhausiano ya kimapenzi hapo nyuma na msanii mwenzake seve nyerere lakini hakuna aliyewahi kujua na kwa sababu ilikuwa ni siri.
Wawili hao ambao wamenza kutukanana katika mitandao ya kijamii na kutishiana kutoleana siri mpaka za ndani imekuwa ni kama swala ambalo hakuna aliyetegemea kuwa lingeweza kufikia lilipofikia sasa.
Akiandika waraka mrefu wenye matuzi na kebehi nyingi mange kimambi amesema kuwa Steve Nyerere aliwahi kuwa na mahsuaino na mwanadada huyo lakini wastara anajifanya kuwa ni mgonjwa wakati anaweza kutoka kimapenzi na wanaume tofautu tofauti ilhali hajali ugonjwa alaiona.
Wastara ambae ahap awali aliptajiwa mambo ya steve nyerere alimjibu kuwa mambo ya steve nyerere ni ya zamani kabla hata ahajapata ajali , akimaanisha kuwa ni kipindi ambacho alikuwa hajaolewa lakini mange alikanusha na kusema kuwa ni kipindi hiki cha ugonjwa wake ndio alikuwa katika mahusiano na Steve Nyerere na pia mdogo wake Alikiba pia.
Mama mbona unajitetea nimeanza kukutajia ya steve nyerere unaanza kujitia eeti ooh ya zamani, eti ni mambo ya miaka 10 iliyopita wakati steve ame**** wakati ukiwa umeshakatwa mguu…..Ma***a kilema wewe , …Ki**** hata kiwe na miaka20…..malaya mchafu wewe ume***** mpaka na abdul kiba hivyo ivyo na kigulu chako. unapenda sana watoto wadogo wastara.