Mbowe "Nitaachia Uenyekiti Nikitakiwa na Wanachama, si CCM"


Asema wanachama ndio waliompa dhamana ya uongozi hivyo wakitaka ang'oke atafanya hivyo kwa furaha

Asisitiza kuwa kamwe hataachia uenyekiti kisa kelele zinazopigwa na Watu walioko Chama cha Mapinduzi(CCM)

Abainisha Uenyekiti wa CHADEMA sio kazi nyepesi wala haina faida na kudai ni kazi ya utume na yenye msalaba kwelikweli ambayo sio kila mtu anaweza kuifanya

Ameyasema hayo leo jijini Dar alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari katika Makao Makuu ya CHADEMA
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad