Mgambo Aliyeonekana Mtandaoni Akimpiga Raia Aliyekataa Kulipa Faini ya Usafi Akamatwa

Askari Mgambo waliompiga na kumuumiza vibaya mfanyabiashara Robson Orotho mkazi wa Bunju A anayedaiwa kutolipa faini ya usafi wanashikiliwa na Jeshi la polisi Mkoa wa Kinondoni baada ya kusambaa kwa video inayoonyesha tukio hilo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad