Mke Wangu Kawa Mtaalam Kitandani Ghafla, Ina Maana Gani?



Wapendwa shalom,

Napenda kuwauliza kuwa kama siku zote wakati wa unyumba mke hakua akijua kukata mauno, kama tunafanya anakua amelala tu haangaiki , miaka miwili sasa toka tuone...sasa ghafla anaanza kuonyesha ujuzi wa hali ya juu kama mzoefu, kuna usalama hapo kweli?

Mfano haya mambo ya kunyonya nyeti, anabinuka katika namna ambayo unashindwa hata kuelewa amefaham vipi

Pia hii mikao ya kidunia hatukua tunafanya, anataka moja tu ya mama chini, baba juu, sasa siku hizi ndie ananielekeza mimi hizo za kishetani ambazo tulishazikataa kitambo kwa ushauri wa mama mchungaji.

Nilikua na wasi wasi isije ikawa ameamua kufundishwa na jitu lingine huko nje!

Kuna pahala mtu anaweza kujifunza haya matendo bila kufanya practise ya live kweli?
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad