Mpenzi wa Wema Sepetu Wazamani Afunguka Kupigwa Kibao na Wema Kisa Pombe

Moja ya Story ambazo ziliwai kusambaa mtandaoni hivi karibuni ni kuhusu Chalz Baba kupigwa kibao na Wema Sepetu wakati alipokuwa kwenye show zake huku sababu ikitajwa kuwa ni mwanamke aliyezaa na Chalz Baba.

 Chalz Baba ambaye amejibu na kusema ni kweli Wema alimpiga kibao na alikuwa amekunywa pombe japo yeye hakuchukulia kama ishu kubwa. Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Chalz Baba akielezea sababu za kupigwa kibao.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad