Msafara wa Rais Magufuli Wapata Ajali Simiyu, Waandishi wajeruhiwa


Gari lililokuwa limebeba waandishi wa habari wa Mkoa wa Simiyu limepata ajali kwenye msafara wa Rais John Magufuli wilayani Meatu ambapo liligongwa na magari mengine kwa nyuma.


Waandishi wa habari watatu, Adan Mhando wa Channel Ten, Faustine Fabian wa Mwananchi, Rehema Evansi wa Azam TV, na Mpiga picha wa ITV, wamepata majeraha madogomadogo na wamekimbizwa hospitali ya wilaya Meatu. 

Wengine waliokuwemo katika  ajali hiyo na kunusurika ni Berensi China,Samwel Mwanga,Derick Milton,Costantine Mathias na Rehema Evance. 
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Poleni ndugu kwa ajali na pia binafsi namshukuru sana Bwana Mungu aliyewanusuru

    ReplyDelete
  2. Bw Kigwangala anaendeleaje, mbona hakuna update on his progress, wanaomuombea wangefurahi kujuzwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad