Msanii Nikki wa Pili Ashangazwa Zoezi la Uokoaji Linaloendelea Mwanza...


Msanii wa muziki Tanzania, Nikki wa Pili amedai kuwa anashindwa kuelewa kinachoendelea kwa sasa, hoja iliyohisiwa kuwa imeibuka kwake kutokana na ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na kisiwa cha Ukala katika ziwa Victoria, iliyotokea siku ya jana.

Nini maoni yako??

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad