Mstari Mweusi Chini ya Kitovu cha Baadhi ya Wanawake Unamaanisha Nini?



Wakuu habarini,kwa sisi mabinti huu mstari chini ya kitovu(linea negra) nackia una maanisha kuwa mtu yupo fertile na ana uwezo wa kuzaa,

Je kama mwanamke hana maana yake hatoweza kuzaa?au mstari huu wa maanisha nn?
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad