Msuva afunguka sababu ya kutoka sare na Uganda


Mshambuliaji wa klabu ya soka ya EL Jadida ya Nchini Morocco amesema licha ya kutoka sare katika mchezo wao dhidi ya Uganda katika uwanja wa mandela. 

Akizungumza na Global TV Saimoni Msuva amesema licha ya kupata matokeo mabaya ugenini amesema uwanja ulichangia kufanya wao wasipate matokeo mazuri dhidi ya Uganda. 

Kwa upande mwengine mshambuliaji huyo amewataka wachezaji waki Tanzania kuwa na hali ya Uthubutu ilii kuweza kufikia malengo yao.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad