Mwanafunzi Auawa kwa Kuchomwa kisu kwenye Kigodoro Akigombea Mwanamke

Mwanafunzi auawa kwa kisu kwenye kigodoro akigombea mwanamkeJeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikiliwa mwanafunzi anayetuhumiwa kumuua mwenzake mwenye umri wa miaka kumi na tisa wote wakiwa wanasoma Shule ya Sekondari Mteule akituhumiwa kumchoma kisu sehemu kifuani wakiwa kwenye kigodoro.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Wilbroad Mutafungwa amemtaja aliyeuawa ni Abdulrahiman Daud aliyeshambuliwa kwa kile kinachodaiwa ugomvi wa kugombea mwanamke.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad