Mwanamuziki Nandy Afunguka Kuacha Muziki


"Mimi ndoto zangu ni kuwa mfanyabiashara mkubwa sana na hata wakati naanza kufanya muziki nilijiwekea malengo baada ya miaka mitano niache muziki na niendeleze biashara zangu na mpaka sasa nimeitumia miaka miwili (2016 na 2017) na mwaka 2020 ndiyo nitaacha muziki, Na sio kwamba nitakuwa sitoi ngoma hapana nitakuwa natoa sema kwa mwaka hata mara moja ha show naweza kuwa nafanya mara moja kwa mwaka ili nipate muda mzuri wa kusimamia biashara zangu" Ameyasema Hayo Nandy kuhusu kuachana na Muziki

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad