Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi Katazungumzia Sakata la Mawakala CHADEMA Kuzuiliwa

Baada ya CHADEMA kulalamika kuwa mawakala wake wamezuiliwa katika baadhi ya vituo vya kupigia kura Monduli, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistocles Kaijage amekanusha na kusema mawakala wanne wamekataliwa kwasababu wamekwenda tofauti na walioapishwa.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad