Idadi hiyo imefikia baada ya Mwili wa mtoto mmoja kuopolewa leo ambapo shughuli ya kukivuta Kivuko hicho inaendelea
Itakumbukwa kuwa jana Septemba 24 miili ya watu wawili iliopolewa katika eneo la ajali hiyo kwenye Ziwa Victoria
Aidha, baada ya kufanikiwa kukilaza kwa ubavu Kivuko hicho baadhi ya mizigo ikiwamo mikungu ya ndizi, mikoba na majamvi imeanza kuelea na kusukumwa na maji hadi ufukwe wa kijiji cha Bwisya katika kisiwa cha Ukara
Kazi ya kunyanyua kivuko hicho kilichozama Septemba 20 na kujifunika inafanywa na wataalam kutoka JWTZ na vikosi vingine vya ulinzi na usalama wakishirikiana na Maafisa kutoka kampuni ya Songoro Marines ya jijini Mwanza
Enter your comment...a
ReplyDeleteMUNGU was mbinguni na awarehemu wote waliopoteza maisha katika ajali hii mbaya .
mungu azilaze roho za marehem wote mahali pema pepon
ReplyDeleteAMEN..!!!