Najipendekeza Wasafi ili Niwe Msanii Wao :-Amber Lulu

Najipendekeza Wasafi ili Niwe Msanii Wao :-Amber Lulu
Mwanadada Amber Lulu  amefunguka na kusema kuwa kwa siku nyingi amekuwa akitamani sana kufanya kazi na  wasanii wa kundi la WCB  kutokana na kujituma kwao kufanya kazi lakini pia kwa kazi zao nzuri ambazo kila mtu amekuwa akiziona .

amber lulu anasema kuwa na ndio maana amekuwa akikaa karib na WCB ili kujipendekeza ili siku moja wamuone ka kumchukua kama msanii wao.

“wasafi wanajituma sana na wanajua sana muziki,  na ndio maana najipendekeza ili niwe msanii wao, magari yale yananitia sana uchizi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad