Najua Umelia Mpakaaa Ila Soon Utatoka Tu- Vanessa Mdee

Najua Umelia Mpakaaa Ila Soon Utatoka Tu- Vanessa Mdee
Staa wa Muziki wa Bongo fleva Vanessa Mdee amefunguki ishu ya Msanii mwenzake Maua Sama kuwekwa Ndani kwa siku tano mfululizo bila ya dhamana.

Maua Sama anewekwa  ndani tangu siku ya Jumapili mpaka leo hajapata dhamana baada ya kuonekana kwenye video clips akiwa anakanyaga  pesa huku akicheza wimbo wake wa ‘Iokote’.

Vanessa ameibuka n kumtaka Maua kuwa mjasiri na kumtaka kuwa mvumilivu kwani siku si nyingi atatoka na akisha toka watacheka na kusahau yote yaliyotokea.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Vanessa Mdee kamuandikia ujumbe huu:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad