Nandy Atamani Kuwa na Familia

Nandy Atamani Kuwa na Familia
Kwenye Staa wa Muziki wa Bongo fleva anayefanya vizuri na ngoma yake ya ‘Aibu’ Faustina Charles maarufu kama Nandy amefunguka na kuweka wazi kuwa anatakani sana kuwa na Familia yake.

Nandy amedai kuwa hatamani tu kuwa na Familia bali anaitamani ile familia ambayo itakuwa ni mfano wa kuigwa  na watu na ataangalia vigezo vikuu vitatu.

Katika interview yake na gazeti la Dimba, Nandy amesema miongoni mwa sifa kubwa anazotamani ndani ya familia yake ni pamoja na ile ya kumcha Mungu, kutafuta pesa pamoja na kuwa na watoto wasiopungua watatu.

Kila mmoja anatamani familia jinsi alivyojipanga mwenyewe, kwa upande wangu natamani sana familia iliyo bora, yenye hofu ya Mungu na ikipendeza nipate watoto wengi”.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad