Naomba Tutulie, Juhudi za Uokoaji Zinaendelea- Rais Magufuli

Naomba Tutulie, Juhudi za Uokoaji Zinaendelea- Rais Magufuli
“Nimeshtushwa na kusikitishwa sana na ajali ya MV Nyerere, nawapa pole wote waliopoteza jamaa zao na nawaombea wote walionusurika kupona haraka, kwa wakati huu nawaomba tutulie wakati juhudi za uokoaji zinaendelea” ni maneno ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Magufuli akitoa pole kwa wahanga wa ajali ya MV. Nyerere

Salamu hizo zimetolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Gerson Msigwa akiwa ameambatanisha na picha ya ajali ya kivuko hicho.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad