Nay Afunguka ya Moyoni Kuhusu Penzi la Nini " Bado Nampenda Hata Akirudi Leo Nampokea"

Nay Afunguka ya Moyoni Kuhusu Penzi la Nini " Nampenda Hata Akirudi Leo Nampokea"
MWANA-MUZIKI wa Bongo Fleva, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ ameeleza la moyoni kuwa bado anampenda aliyekuwa mpenzi wake, Nini na endapo atarudi atakuwa tayari kumpokea.
Nay aliliambia Ijumaa Wikienda: “Bado ninampenda sana Nini na hata kama akirudi leo hii akahitaji kurudiana na mimi, nitakuwa tayari kumpokea.” Nay alizama kwenye penzi zito na Nini ambaye naye ni msanii wa Bongo Fleva ambapo licha ya kuonekana kuweka hadharani mapenzi yao, lakini hawaku-dumu kwa muda mrefu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad