Nicki Minaj na Lewis Hamilton Waanika Penzi Lao Hadharani

Nicki Minaj na Lewis Hamilton Waanika Penzi Lao Hadharani
Baada ya tetesi kuwa Nicki Minaj ana-date na mwendesha magari yaendayo kasi, Lewis Hamilton sasa huenda isiwe tetesi tena kwani wawili hao wameonekana tena wakiwa karibu na nyuso zilizojaa tabasamu.



Nicki Minaj na Lewis Hamilton wote wawili wameposti picha kwenye kurasa zao za mtandao wa Instagram, wakiwa wawili mjini Dubai.



Hii sio mara ya kwanza wawili hao kuonekana pamoja , kwani wiki tatu zilizopita walionekana pamoja kwenye maonesho ya mavazi ya NYFW na kuibua tetesi za kutoka kimapenzi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad