Calisah anasema kuwa hawezi kamwe kwenda kwa mganga ili tu kumloga mwanamke lakini kama ni mambo mengi anaweza kwenda ingawa pia hawezi kwenda kwa ajili ya kumloga mtu yoyote kwa mafanikio ya kazi .
ndio nilishawahi kwenda kwa mganga lakini sio kwa sababu ya demu,haa siwezi kwenga kwa mganga kwa sababu i dont chase holes, nilikwenda kwa ajili ya mambo ya kimaisha tu lakini sio mapenzi.
Nilikwenda kwa mganga kwa sababu ya kujiweka vizuru tu mimi mwenyewe kwa sababu tunaishi na watu na kuna ma-haters pia lakini sijawahi kwenda kwa ajili ya kumloga mtu pia.