NimeHack Simu ya Mke Wangu Kwa WhatsApp Code, Aisee Anapanga Makubwa Kunisaliti Nitakaposafiri

Yalalalal dah jamani kuna hii system ya Ku scan code za mtumia WhatsApp ili meseji atakokuwa anapokea zinakuja kwako,

Ni application unaiweka Kwa simu na unaificha sasa nimeweka ya mke wangu kwamba nitakaposafiri nijue kinachoendelea nyuma , jamani kuna mtu nanchukulia kama ndugu wa damu kumbe ndo anamchukua mke wangu na wanapanga mengi nikisafiri,

Mke wangu hajui kama nimeshagundua, wala Yule rafiki hajajua, na jumatatu kuna safari ya kikazi muhim mno,

Hapa nawaza sijui nimwambie boss naumwa mke wangu asijue kama nimeairiaha ili jumatatu nijifanye nimesafiri ili niwafumanie??

Sijui nimwambie sasa hivi make wangu kwamba nimegundua mchezo huo?

Sijui nimwambie boss wangu Hali hii??

Nimechanganyikiwa kabisa
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Piga chini huyo wife maana kama bado upo lakini mpiango ni hiyo inaamnisha hakupendi kabisa pia jitathini inwezekana humridhishi

    ReplyDelete
  2. Haya mambo hayana huruma ohhh ni mke wangu ngoja nimpige kishkaji utaibiwa piga kunja hadi polisi akifumania unapelekwa sero na kesi niya mauaji Hahahahahaaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad