Noma..Surprise ya Team Wema, Waibukia kwa Wema Sepetu Matarumbeta



Usiku wa kuamkia September 28, 2018 mashabiki wa Wema Sepetu ambao wanafahamika kama ‘Team Wema’ waliandaa Surprise yao kwa ajili ya Wema ambaye kila Sept. 28 ya kila mwaka huadhimisha mwaka mwingine wa siku yake ya kuzaliwa.

Tema Wema waliandaa zawadi mbali mbali kama Keki, fedha na hata kukodi gari na matarumbeta ili kwenda nyumbani kwa Wema kumfanyia Surprise.

Tazama VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad