Nyota ya Hamisa Mobetto Yazidi Kung'aa Licha ya Sakata la Kumloga Diamond...Apata Hili


Hamissa Mobetto safari yake ya urembo ilianzia mwaka 2010 ambapo alifanikiwa kuwa Miss XXL BACK TO SCHOOL BASH ambayo iliandaliwa na kipindi cha XXL kutoka Clouds Fm.

Mwaka 2011 Hamisa alishiriki mashindano ya Miss Dar Indian Ocean na alifanikiwa kushika nafasi ya pili , pia mwaka huohuo alikua mshindi wa pili wa miss kinondoni na kufanikiwa kuingia kwenye Nusu fainali ya miss Tanzania.
Mwaka 2012 hamisa alishiriki kwenye mashindano ya Miss Univeristy Afrika na kuingia hatua ya 10 bora.

Baada ya hapo ameendelea kuwa gumzo kwenye masuala ya fashion na siku ya leo pale JNCC atakuwa moja kati ya washereheshaji (Mc) ili kuandika wote historia ya New Miss Tanzania 2018.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad