Obama Amchana Trump ''Ache Kufanya Mambo ya ‘Kipuuzi’ Ikulu

Obama Amchana Trump ''Ache Kufanya Mambo ya ‘Kipuuzi’ Ikulu
Rais Mstaafu wa Marekani Barack Hussein Obama amesema chama tawala cha nchi hiyo Repubican kuwa kimeshindwa kumdhibiti Rais wa sasa Donald Trump kufanya mambo ya kipuuzi Ikulu.

Hii ni mara ya kwanza kwa Obama kumkosa waziwazi mrithi wake Donald Trump tangu alipoondoka madarakani Januari 2017 na ameyasema hayo akiongea na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Illinois-Urbana.

Rais Trump akiwa katika Jimbo la Dakota amesema kuwa aliangalia hotuba ya Obama lakini ilimfanya asinzie.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad