Odinga Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kuzama kwa MV Nyerere

Odinga atuma salamu za rambirambi kufuatia kuzama kwa MV Nyerere
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Waziri mkuu wa zamani Raila Odinga, ametuma salamu za rambirambi kwa walioathiriwa na mkasa wa feri nchini Tanzania.

Amesema anaombolewa na Watanzania kipindi hiki kigumu na kumuomba Mungu awape nguvu wote walioathiriwa, pamoja na raia wote wa Tanzania.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad