Paul Makonda 'Sijatuma Mgambo Yoyote Kupiga Wananchi'

Hakuna kiongozi yeyote aliyewatuma mgambo kuwapiga watu kwenye kampeni hii ya usafi na hakuna sheria inayosema hivyo, nilifanya hivi kwa nia njema ya kuhakikisha jiji letu la Dar es salaam linakuwa safi na salama,  sasa kuna wachache ambao wanapiga raia wameamua kuharibu kampeni hii hivyo wenye tabia kama hiyo tumeshawachulia hatua" Mkuu wa Mkoa wa Daar es salaam Paul Makonda

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad