Picha: Ghana Waomboleza Kifo cha Koff Annan Tayari kwa Maziko Kesho

Picha: Ghana Waomboleza Kifo cha Koff Annan Tayari kwa Maziko Kesho
Mwili wake Annan umelazwa katika ukumbi wa mikutano ya kimataifa Accra akitarajiwa kuzikwa Alhamisi



Hizi ndio baadhi ya picha za karibu  zinazoonyesha msafara kutoka jimbo alikozaliwa Annan- Akwamu - ukiwasili katika jumba hilo la mikutano ya kimataifa mjini Accra.


Sehemu ya shughuli zinajumuisha maafisa kutoa heshima zao kwa jamaa na familia ya Annan.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad