Raha ya Kufanya Mapenzi Sehemu Hatarishi zisizo Sahihi..

Wimbi la Watu Kufanya Mapenzi kwenye Magari hapa Mjini mchana kweupe limeongezeka kwa kasi...Hapa namaanisha kufanya mapenzi katika maeneo hatarishi na siyo mapenzi hatarishi,yan kufanyia mapenzi maeneo ambayo hayakupi utulivu wa asilimia mia,na maeneo hayo ni kama vile kufanyia mapenzi ofisini au choo cha ofisi, Beach disco,kwenye siti ya nyuma ya bus la public,vichochoroni, Kwenye Gari  nk,hivi wapendwa huwa ujasili unatoka wapi?

Na je kufanya mapenzi sehemu hizi kuna raha zaidi ya kufanya kwenye chumba?

Tupe Maoni yako
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Naitwa zacharia Mwampashi.

    Ujue kufanya mapenzi sehem hatarishi tajwa hapo juu kuna mzuka sana kuliko kufanya chumbani sababu wote mnakua atension sana.
    Ni sawa na kufanya kwa wizi pia the same conditions.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad