Rais JPM Atembelea Shule Aliyosoma Nyerere.... Atoa Milioni 20

Rais Dkt John Magufuli, ameendelea na ziara yake ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali hapa nchini.



Leo Septemba 05, Rais Magufuli ametembelea shule ya msingi Mwisenge mjini Musoma aliyosoma Baba wa Taifa , Mwl Julius Nyerere.



Na baada ya hapo , Rais Magufuli akafanya mkutano wa hadhara na kuzungumza na Wananchi katika viwanja vy Mkendo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad