Rais Magufuli Aagiza Kijengwa kwa Haraka Kivuko Kipya Ukerewe

Rais Magufuli Aagiza  Kijengwa kwa Haraka Kivuko Kipya Ukerewe
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemwagiza Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Eng. Kamwelwe kutangaza zabuni haraka kwa ajili ya kujenga kivuko kipya cha Ukara baada ya MV Nyerere kuzama. Ameagiza kivuko hicho kiwe na uwezo wa kubeba tani 50 na watu zaidi ya 200.


Kivuko hicho kipya kitakuwa na ukubwa mara mbili ya MV Nyerere kilichokuwa na tani 25 pekee na uwezo wa kubeba watu 101.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad