Rais Magufuli Atumba Salam za Rambi Rambi Ajali Iliyouwa Watu Kumi na Moja Mbeya

Rais Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu 11 vilivyotokea leo jioni mkoani Mbeya katika ajali ya barabarani baada ya lori lililokuwa na shehena ya viazi kuyagonga magari matano likiwemo basi dogo lililokuwa na abiria

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad