Rais Magufuli Kuzindua Flyover ya Tazara..Wapinzani Wawekewa Sehemu ya Kukaa Kushuhudia


Ni katika makutano ya barabara za Mandela na Nyerere katika eneo la TAZARA jijini Dar na ataizindua kesho Septemba 27

Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda amesema Flyover hiyo itapunguza changamoto ya msongamano barabarani iliyokuwa inaleta hasara ya Tsh. Bilioni 400 kwa mwezi

Makonda amewaalika viongozi wa upinzani kwenda kushuhudia tukio hilo na kuwa atawawekea sehemu maalumu ya kukaa akiamini wao ndio wanaongoza kuponda maendeleo hayo

Flyover hiyo ilianza kutumika kwa majaribio mnamo Septemba 15 mwaka huu
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad